Yanga YAMNASA Mdogo ake Akilimali midomoni mwa Lipuli

Yanga imemnasa kiungo kinda mwenye kasi aitwaye, Baruani Yahaya Akilimali na kumsainisha mkataba wa miaka miwili. 

Taarifa zinaeleza, Yanga wamefanya umafia na kumtwaa Akilimali ambaye ni mdogo wake na Yahaya Akilimali aliyewahi kuwa nyota wa Simba. 

Kiungo huyo alielelezwa kuwa anasoma Uganda, alikuwa ameanza mazoezi na Lipuli ya Iringa kwa lengo la kusajiliwa kwa ajili ya Ligi Kuu Bara. 

Lakini Yanga baada ya kugundua mchezo na kuona uwezo wake mazoezini, mara moja walifanya haraka na kumsajili

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya