JERRY MURO:Saizi rais ni mmoja

Ni maoni ya Mwandishi wa habari ambaye pia amewahi kuwa Msemaji wa Club ya soka ya Yanga Jerry Muro kwenye mtandao wake wa kijamii kuhusu Rais wa Tanzania na wengine wenye vyeo vya Urais.

Jerry Muro ameandika :

“Rais wa Tanzania ni mmoja tu, Hawa wengine 
Rais wa TLS Rumande
Rais wa TFF Rumande
Rais wa Yanga Rumande 
Rais wa Simba Rumande 
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
#utanikamakweli 
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.
#raiswangu #HapaKaziTu@lemutuz_nation
@paulmakonda @gersonmsigwa“

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya