NANI NI NANI,, Na Nani kuleta upinzani wa kweli.. SINGIDA UNITED KUFANYA KWELI AU

HABARI YA JUMAPILI YA LEO

Habari yako msomaji wangu wa blogg hii inayo zidi kufanya vizuri siku hadi siku. 

Leo nimekuja na kitu kipya kuhusiana na soka letu la Tanzania hususani kuzungumzia virabu vyetu vinavyo kuwa vinapanda daraja siku kila mwaka na kuona maendeleo yake ndani ya mwaka mmoja mara baada ya kupanda daraja. Tukiachana na Mbeya City waliofanikiwa kupanda daraja mwaka mmoja tuu wanafanya makubwa na kushika nafasi tatu za juu. 

Sasa ningependelea kuzungumzia virabu vilivyopanda daraja kwaajili ya msimu unaotarajiwa kuanza mapema August hii. 

Tukianza na NJOMBE MJI FC. 


Kama tunavyowaona hapo juu. 

Pia napenda kuzungumzia timu ya LIPULI FC kutoka mkoani Iringa. 
Pia hii ni timu kutoka Kusini mwa Tanzania ambayo imepigana miaka mingi Hatimae imefanikiwa kupanda daraja na wanawapaluhengo hao kufanikisha kuwa furahisha mashabiki wao akiwepo kijana machachari kabisa zamani alichezea klabu ya SIMBA ya Dar es Salaam. 
Ukiangalia Hawa nao usajili walio Ufanya ni wa wachezaji wapya kabisa katika Ligi kwa kuzunguka na kuitisha mabonanza na kupata wachezaji wa kuwafanyia majaribio. Je vipi Hawa nao wanaweza kukidhi ubora na wakipambana na kuleta changamoto katika msimu huu.

Tumalizie na timu ambayo inatajwa wenda ikaleta upinzani mkubwa mpya kama uliofanywa na Azam Fc na kufanya kuwasahaurisha watu kuwa kombe Nila YANGA na SIMBA pekee. 
Kiukweli timu hii imefanya usajili wa nguvu kutokana na Udhamini mnono walio upata kutoka kwa Sport pesa, ulio wapa kiburi cha kugombania wachezaji na vilabu vikubwa kama SIMBA, YANGA, NA AZAM FC.

JE ndugu msomaji unadhani ni timu ipi kati ya hizo hapo juu inaweza kuleta kashikaski katika soka letu ukiachana na usajili ambao timu hizi zimeufanya.
Toa maoni yako 
Share kwa wenzio na magruop mbalimbali tuone watanzania wanalizungumziaje hili


By
Godfrey mpagike
@GodynewsTz.
0759665229.
Facebook as GODFREY M Tz. 
Email godfreyjoakim068@gmail.com. 


Comments

Popular posts from this blog

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

Shangazi ananiumiza jamani

MWALIMU afumwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani