ALIYE IMBA NITAREJEA NA DIAMOND AWA TEJA WA GONGO
Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
Anaomba asaidiwe

Comments
Post a Comment