JONAS MKUDE Arejea


Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameungana na wachezaji wenzake na kufanya nao mazoezi pamoja nchini Afrika Kusini.

Mkude alikuwa akifanya mazoeiz pekee taratibu lakini kuanzia leo ameanza mazoezi na wenzake.

Simba imeweka kambi jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa 2017-18.

“Nimeanza mazoezi na wenzangu na sasa tunaendelea na mazoezi pamoja kujiandaa na msimu mpya,” alisema

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya