Posts

Showing posts with the label GODYNEWS TZ

SIMULIZI;Najuta kukufahamu OLIETER;SEHEMU YA KWANZA [1]

Image
SEHEMU YA KWANZA  SIMULIZI; NAJUTA KUKUFAHAMU OLIETER MTUNZI  ; GODFREY JOHAKIM MPAGIKE TEL          ;  0759665229,0757228705,067578658 ''Hakika moyo wangu unaonekana kuangamia kwani pale nilipopenda sipendwi labda kuna mwenzangu kashapendwa'' OLIETER   kipenzi kwanini umeamua kuutesa moyo wangu kiasi hiki,unanifanya mudamwingi nijikunyate kama kifaranga kwenye baridi kali la ukungu mithiri ya giza aliye sahaulika na mama yake wakati wa mawindo ya chakula. haya ni baadhi ya maneno yanayonijia kichwani mwangu mara kwa mara tangu nikufahamu olieter kipenzi, kwani hakika amani imetoweka moyoni mwangu hata nikilala badala ya kuota ndoto nzuri juu yako imekuwa kinyume nafikiria labda kunaweza kukapatikana kisasi ili niweze kulipa ili tugawane mateso haya, kwani mawazo kwa sasa juu yako ni zaidi ya mtihani wa taifa kwaajili ya maisha yangu hapa duniani. Kiukweli tangu nikufahamu olieter nilitokea kukupenda bila ya kuchamba na kucha...