Sehemu ya Tatu: SIKUJUA KAMA YANGEKUWA HAYA Na GODFREY MPAGIKE

SIMULIZI; SIKUJUA KAMA YANGEKUWA HAYA
SEHEMU YA TATU
Na GODFREY MPAGIKE

ILIPOISHIA; Hapo ndipo na yeye akapata ujasiri zaidi na kuniambia baby,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Hapo ndipo nayeye akapata ujasili na kuniambia baby kwa sauti iliyokuwa imejaa mahaba, mpaka mwenyewe na uanaume wote nikaishiwa pozi nikaamini kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Basi mambo yakaendelea na muda ukawa unazidi kwenda ikawa kama saa saba kasoro sasa, hatimae J akaniuliza baby kwani wewe ni mgonjwa, jambo ambalosikutarajia kabisa kuulizwa kwani nilikuwa nina zaidi ya miaka miwili sijawahi ugua, sasa iweje yeye ananiuliza leo kama mimi ni mgonjwa. Nikamuuliza kwa mshangao mkubwa na kumuuliza kwanini umeuliza hivyo my, akakaaa mathalani dakika moja hivi bila kunijibu huku akiwa amelenga macho yake kama anataka kufa vile, na kwa wakati ule nilikuwa nishatambua ni nini anachotaka kukiongea mana kwa muda ule sasa alikuwa amelegea kiasi cha mimi kuwa sasa kama ndio miguu yake nilikuawa nimemshikilia mara baada ya kuegama mpaka akaegama.

Basi kuanzia hapo nikawa nazidi kuwa mdadisi kutokana na mambo yaliyokuwa yanaendelea, nikamuuliza tena nami pale ikabidi nishuke sasa ili namimi nionekane kuwa najali sasa kwa muda ule na nimeelewa sasa anachokitaka, basi nikamuuliza tena kwa sauti ya upolee what do you mean baby, kutokana ana aibu iliyokuwa imemshika kwa wakati ule bado hivyo akaendelea kuniangalia tuu, basi yeye akataka kunithibitishia zaidi kwa vitendo kwani alizidi sasa kunisogelea kuelekea paji la uso wangu sasa hapo roho yangu ilikuwa inapwita pwita kwa kukosa ujasiri maana yalikuwa mambo mageni kabisa kwangu, huku simba wa yuda nae akiwa amechachamaa kuliko kawaida yake na nikigusa suruali yangu nkawa nahisi kuwa imeloa kwa eneo la chini la simba wa yuda. nikadhani labda nimejipiga kama tulivyowahi kudokezwa na mwalimu wetu wa biologia kuhusu mambo haya unapokuwa umefikisha umri wa kubarehe au kuvunja ungo.
Basi mdadi ukawa unazidi kunipanda dakika hadi dakika mpaka nikajikuta namimi sasa naendana na mazingira yaliyokuwepo kwa wakati ule. Nadhani sasa ule muda wa kunena ukawa umefika kwasababu wote tulikuwa kwenye hali moja , basi J the cuty dada aliyekuwa kajaliwa kwelikweli na maulama, mwendo wa maringo, weupe wa asili kabisa na dimpoz kwa mbali alizidi kunichanganya zaidi, sasa akapata nafasi ya kukutanisha midomo yetu kutoka kifuani sasa akawa amefika kinywani na kuanza kunyonyanyonya midomo yangu huku akizidi kunipa maneno matamu huku nikijisemea moyoni mwangu leo ni leo,huku maneno yake kwa sauti ya mbalii ambayo nahisi tulikuwa tunaisikia sisi wawili tuu yakiendelea kumtoka yaki sema honey,,,,,,,,,,,,,,,,,,itaendelea tena kesho muda kama huu

imetayarishwa na GODFREY MPAGIKE
@THE super skeleton boy
Tel;0759665229
whatsapp; 0675748658.




Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya