TCU imevifunga breki VYUO 19


Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo. 

Hivyo tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo. 

Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na: 
    1. Eckenforde Tanga University 
    2. Jomo Kenyatta University, Arusha 
    3. Kenyatta University, Arusha 
    4. United African University of Tanzania 
    5. International Medical and Technological University (IMTU) 
    6. University of Bagamoyo 
    7. Francis University College of Health and Allied Sciences 
    8. Archibishop James University College 
    9. Archibishop Mihayo University College 
    10. Cardinal Rugambwa Memorial University College 
    11. Kampala International University Dsm College 
    12. Marian University College 
    13. Johns University of Tanzania Msalato Centre 
    14. Johns University of Tanzania, Marks Centre 
    15. Joseph University College of Engineering and Technology 
    16. Teofilo Kisanji University 
    17. Teofilo Kisanji University Tabora Centre 
    18. Tumaini University, Mbeya Centre 
    19. Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo) 

Aidha, kutokana na mapungufu hayo katika vyuo mbalimbali imeamriwa kuwa jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).