KIPA WA SERENGETI BOYS Asaini YANGA miaka Mitano

Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga. 

Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la makipa watatu wa Yanga.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).