Mapacha walioungana wafaulu mtihani wa kidato cha sita. Kila mmoja apata division TWO
Kama ulishawai kusikia kuhusu taarifa yamabinti wawili walio ungana hatimae mabinti hao wamemaliza kidato cha sita
mabinti hao Consolata na maria ambao ni watoto yatima walifanya mtihani wa kidato cha sita na matokeo yao yamekuwa mazuri wamefauru na kupata dalaja la pili
watu wengi hawa kuwafikilia kama watafanya vizuri katika mtihani wao wa mwisho lakini mungu kawajaria wamepata matokeo mazuri na wanakaribia kutimiza ndoto zao kimaisha
Comments
Post a Comment