Hii ndiyo timu iliyosajili wachezaji wenye umri mkubwa kupita zote


Katika kupepesa hapa na pale leo nimepata udaku huu,,, 
Hivi et ni timu gani mwaka huu imesajili wachezaji wenye umri mkubwa zaidi kuliko wote ambao Wenda wasije wakawa magarasa katika ligi ya mwaka huu

Nipe maoni yako mdau 
Share pia
By Godfrey Mpagike 
@kiraka

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya