Leo nipo na hii hapa, ukiachana na Kichuya ndani ya Simba unafikiri ni nani mwingine anaweza kuwa tegemeo kubwa ndani ya Simba na endapo akikosekana mechi hata moja tu. Tukiachana na usajili ambao simba wameufanya ambao unaonekana kuwa niwa wachezaji wenye umri mkubwa zaidi.
Pia tukiangalia upande wa pili ambako mpaka sasa hakuna nani ni nani atakaekuwa tegemeo zaidi kwa kuwa timu hiyo imetawanyika zaidi baada ya wachezaji wengi kutoka.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya