VIJANA WA kiislam wamfanya Tamasha la zuia watoto wasiende DISCO


Mwenyekiti wa Jumiya ya vijana wa Kiislamu ya Pugu, Babu Jongo akitoa neno
Jumiiya ya Vijana wa Kiislamu wa Pugu jijini Dar es Salaam jana wamefanya Tamasha lilohusisha michozo mbalimbali iliyohalalishwa na dini hiyo kwenye kusherehekea Eid Fitry ili kuzuia watoto na vijana wa Kiislamu kutoenda Disco na mahala pengine pasipo na maadili mema. 




Tamasha hilo ambalo limefanyika kwenye Kiwanja cha Pugu Kajiungeni jana siku ya Eid Mosi limeratibiwa na Jumiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake Yusufu Aboud (Babu Jongo). 




mbio wanaume

mashindano ya kukimbia ndani ya gunia


Mwenyekiti wa Jumiya hiyo Babu Jongo alitoa wito kwa vijana wengine kujiunga na Jumuiya hiyo ambayo haitaishia kwenye matamasha pekee itaratibu na shughuli nyengine za kimaendeleo. 

Kina mama wakishindana kuvuta kamba.


Michezo iliyofanyika kwenye Tamasha hilo ni pamoja na mashindano ya mbio, mbio na Gunia, kukimbia na Chupa juu ya kichwa, kukimbia ndani ya gunia , kuvuta kamba ambapo walishiriki  watoto wa umri kuanzia miaka mitano hadi 10 na watu wazima kulingana kupishana kwa umri hadi kufikia miaka 60. 

Comments

Popular posts from this blog

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

Shangazi ananiumiza jamani

MWALIMU afumwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani