Mdololo wa uchumi wazuia utoaji wa hati za kusafiria BRAZIL

Mamlaka nchini Brazil imezuia utoaji wa hati za kusafiria (pasipoti) kutokana na mgogoro wa bajeti. 
Kitengo cha polisi wa uhamiaji nchini humo ambao hushughulikia utoaji wa pasipoti ndani ya siku sita za kufanya kazi, kimesema kwa sasa hakipokei maombi mapya. 

Mmoja wa wanasisasa nchini Brazil amezilaumu sera za Rais Temer kwa kusababisha mgogoro wa kiuchumi. 

Serikali 

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya