video:DIAMOND AAMUA KUUZA KARANGA
Kama utakuwa na kumbukumbu vizuri April 21 Mwaka huu Msanii Huyo alizindua bidhaa yake kuuza Pafyum (Chibu Perfume).
Leo Juni 29, Diamond Platnzumz akiwa Viwanja vya Karume Jijini Dar es salaam, Amezindua bidhaa yake mpya ya kuuza karanga alizozipa jina la "Diamond Karanga" kwa bei ya Shilingi mia tatu tu!
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI...
Comments
Post a Comment