Msanii aliyevamia msafara wa MUSEVENI akamatwa

Dar es Salaam. Mwanamuziki maarufu nchini Uganda, Bobi Wine amekamatwa leo, Jumanne na polisi kwa kukaidi amri ya kutofanya mkutano wa siasa katika eneo ambalo linakaribiana na mahali ambapo Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni alitarajia kuhutubia. 

Bobi Wine ambaye jina lake ni Robert Kyagulanyi, ni mgombea binafsi wa kiti cha ubunge katika jimbo la Kyadondo. 

Imeelezwa kuwa Bobi Wine alizuiwa kufanya mkutano leo katika eneo la Kasangati kwa sababu lipo kilomita chache kutoka eneo ambalo Rais Museveni alitarajia kufanya kampeni kumpigia debe mgombea ubunge wa chama chake cha NRM, Sitenda Sebalu. 

Awali Bobi Wine alifikishwa Kituo cha Polisi cha Kisangati lakini alihamishwa baada ya wafuasi wake kuvamia eneo hilo wakitaka aachiwe mara moja. 

Polisi walimwamishia Kituo Kikuu cha Kira lakini wafuasi wake walihamia kituoni hapo wakisisitiza

Comments

Popular posts from this blog

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

Shangazi ananiumiza jamani

MWALIMU afumwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani