Mwanafunzi ajirusha kutoka ghorofani



Mtoto anayedhaniwa kuwa ni Mwanafunzi wa  shule ya DYCCC iliyopo Chang'ombe jijini Dar es Salaam amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini huku chanzo cha tukio hilokikiwa bado hakijafahamika haraka. 

Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Gilles Muroto amekiri kutokea kwa tukio hilo ingawa taarifa hizo zipo kwenye mitandao na hazijafikishwa kituoni hapo lakini tayari wameanza kufuatilia ili kubaini nini chanzo cha cha tukio hilo. 

Hata hivyo Jina na umri wa mtoto huyo bado havijafahamika. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi. 
Tazama video zaidi ya tukio hilo

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya