Mshambuliaji mahiri Chelsea ajiunga na Lyon


Mshambualiaji wa Chelsea Bertrand Traore amejiunga na Lyon kwa kima cha pauni milion 8.8
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21 raia wa Burkina Faso, ambaye alikuwa msimu uliopita aliicheza Ajax kwa mkopo, amesaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo ya Ufaransa. 

Traore alijiunga na Chelsea mwaka 2014 na kufunga mabao manne katika mechi 16 kwenye mechi tatu mfululizo mwaka 2016. 

Aliifungia ajax mara 13 msimu uliopita na kucheza katika fainali ya Europa League ambapo walishindwa na Manchester United.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya