VIDEO:Maalimu ataja njama zilizo tumiwa kumpindua katika nafasi yake

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUFMaalimu Seif Sharifu Ahmadi   ametaja Njama zinatumiwa na watu wenye nia ovu naye kumuhujumu pamoja na kumpindua kwenye nafasi yake 

Maalim amezitaja mbinu mbinu hizo na maamuzi ya chama hicho kufuatia hofu hiyo ndani ni kukabiliana na njama hizo. 

Hata Hivyo Katibu Mkuu huyo amesema kuwa Haki ya Wanzzibar ya kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar itapatikana sio muda mrefu. 

Tazama Video hii kisha Share 

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya