Ikulu Ya Rais nchini Brazil yanusulika kushambuliwa

Dereva mmoja ajaribu kupitisha gari  lake kupitia lango kuu la makao ya ikulu ya rais nchini Brazil. 

Hata hivyo dereva huyo aliweza kukamatwa baada ya vikosi vya usalama kupiga risasi gari hilo ingawaje dereva hakupata majeraha yoyote . 

Rais Michel Temer hata hivyo hakukuwa katika ikulu hiyo. 

Picha na video zilizotolewa zinaonyesha lango kuu la ikulu hiyo ya Alvorada likiwa na alama za risasi . 

Rais Temer anakaa katika ikulu nyingine ya Jaburu maili moja kutoka ikulu ya Alvorada .

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya