ALIYEKUWA Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema chini ya Mwamvuli wa Ukawa Edward Lowassa leo amehojiwa na Jeshi la Polisi kwenye Makao Makuu yao. Lowassa aliripoti majira ya saa 4 asubuhi na kuondoka mishale ya saa saba na robo mchana
Tazama Video Hii kisha Share na usisahu Ku-Subscribe

Comments
Post a Comment