DAR ES SALAAM, Hatimae iPhone yatimiza miaka kumi
Dar es Salaam. Miaka 10 iliyopita siku kama ya leo Juni 29, 2007, Steve Jobs aliugeuza ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano ‘miguu juu’ baada ya kuzindua simu aina ya iPhone.
Leo hii simu hiyo inasherehekea miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, huku ikiwa ni simu iliyouzwa kwa wingi kuliko zote katika dunia hii. Tangu kuanzishwa kwake zaidi ya simu za iPhone 1bilioni zimeuzwa katika masoko duniani.
Simu hizi zimebadilisha namna ya kuwasiliana, kufanya biashara, mazoezi, kusafiri, kufanya manunuzi na hata kutazama televisheni.
Kusherekea miaka 10, Gazeti la Mwananchi linakuletea mambo 10 ambayo huyafahamu kuhusiana na simu hii.
Ukitaka kupata undani wa mambo hayo, soma Jarida la Starehe katika gazeti letu Jumamosi hii.

Comments
Post a Comment