DE Bruyne kufunga ndoa

 Kiungo mwenye kasi wa Man City Kevin De Bruyne ameamua kumaliza ubishi na kuachana na ukapera. 

De Bruyne amefunga ndoa na mpenzi wake Michele Lacroix. 

Tayari wawili hao wamejaaliwa mtoto wa kiume aitwaye Mason Milian. 

Walikutana mwaka 2014 kabla ya kuanzisha urafiki na baadaye sasa wameamua kufunga ndoa kabisa jijini Paris, Ufaransa. 

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya