Rayvanny apokelewa na mafuriko ya watu

        
 Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, amewasili alasiri hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) 

Rayvanny alipata tuzo hiyo nchini Marekani Juni 25 na kuwa msanii wa kwanza kushinda tuzo hizo kubwa. 

Rayvanny ameambatana na Babutale ambaye ni mmoja wa mameneja wa Kundi la WCB. 

Uwanjani hapo Kulifulika Mashabiki wa  Msanii huyo walikuja Kumlaki

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya