KITUKO. Aliyetaka Kununua Nyumba za Lugumi Anaishi Nyumba ya Kupanga Chumba Kimoja 0


Dr. Luis Shika aliyetaka kununua nyumba za Lugumi anaishi katika nyumba ya kupanga ambapo amepanga chumba kimoja na anadaiwa malimbikizo ya kodi

Ahaaa sasa wapenzi wasomaji wa blog yetu huyu jamaa, dr Luis Shika unadhani angekuwa msanii angefaa kufananishwa na nani vile hapa bongo. Maana hii ni kiki zaidi ya kiki ya mwaka. 

Andika comment yako hapo chini kidogo tuone watu wanamfananishaje huyu jamaa. 

Comments

  1. Mi hapa huyu jamaa anaendana na jamaa moja HAMORAPA hivii.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya