Je wataka kujua ni siri ipi hiyo kati ya hawa wachezaji wawili. Usikose kufuatilia taarifa mbalimbali tunazoendelea kukupatia kila mara ya dakika moja.
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi. Je, kuna ukweli wowote? Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi. Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi? unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kuj...
PLEASE Help-Siwezi Pitisha Siku Bila kutembea na Malaya Mapenzi Mimi ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana ...Now nafanya kazi katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam , Wakati nilipokuwa chuo mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar Kuchukua wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha...Mchezo huu umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha sana kulala na hao watu...Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae sisikii raha kama nikiwa na changudoa....Sasa jioni mara nyingi huwa natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha siku bila hiyo kitu siwezi... Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje....Admin Plse Post hii Ili watu wanipe Ushauri
Comments
Post a Comment