KIMENUKA. Serikali yaipiga kufuli video hii
- Get link
- X
- Other Apps
Video mpya ya kundi la muziki kutoka Kenya Sauti Sol ft Patoranking 'Melanin', imefungiwa na serikali ya nchi hiyo chini ya bodi ya filamu Kenya (Kenya Film Classification Board KFCB)
Mkurugenzi wa bodi ya filamu Kenya Dr. Ezekiel Mutua, ametoa taarifa rasmi ikieleza kuwa imepokea malalamiko kutoka kwa watu kuwa haina maadili, na imetolewa bila kupitishwa kwenye bodi hiyo kuipa grade.
Pamoja na hayo bodi hiyo ambayo inasimamia ubora wa kazi za filamu nchini Kenya imevitaka vyombo vya habari kutocheza video hiyo, hsusan muda ambao watoto wanaangalia television.
Video mpya ya Sauti Sol wakimshirikisha Patoranking imeachiwa rasmi Novemba 20 mwaka huu, na mpaka sasa hivi tayari ina zaidi ya viewers laki 3 kwenye YouTube

Comments
Post a Comment