Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama

Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama


DKT Louis Shika ambaye amekuwa maarufu kwa muda mfupi kama ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ wakati wa kunadi nyumba za Said Lugumi jijini Dar es Salaam, ametunukiwa heshima ya kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya Chuo cha Afya  kilichoko Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga,  ambako amepokelewa kama mfalme.
Mapokezi hayo ya kipekee yameanzia uwanja wa ndege wa mjini Kahama alipowekwa kwenye gari la wazi huku msafara mkubwa uliokuwepo ukijumuisha na bodaboda,  magari na mamia ya watu mbalimbali waliojitokeza kumwoma na kumlaki.
Ziara hiyo ya Dkt. Shika mkoani humo itamalizika jioni hii chuoni hapo ambapo anatarajiwa kurejea kwa ndege Dar es Salaam usiku.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya