VIDEO: Jibu Atalokupa Dr. Luis Shika Ukimuuliza kwanini Ana Hela Lakini Anaishi Kawaida


Tunae tena Dr. Luis Shika ambae ameendelea ku-trend Tanzania baada ya kutoka Polisi ambapo ameiongelea historia yake na kusema pesa zake nyingi zipo Urusi ambako alikua na kampuni yake huko kwa muda mrefu.

Dr. Luis anasema Kampuni yake ya Urusi inaendelea kufanya kazi kuhudumia nchi mbalimbali duniani na kuna uongozi aliouweka pale nchini Urusi ambako ndiko makao makuu kikiwa na Wafanyakazi elfu 6.

Sasa swali ni kwanini anaishi maisha ya kawaida sana wakati yeye ni Bilionea? Mtazame kwenye hii video hapa chini akiongea mwenyewe

 VIDEO:



Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya