DONALD NGOMA KUTIMULIWA AU KUSALIA YANGA. HUYU HAPA Lwandamila afunguka
Mshanbuliaji wa Yamga DONALD NGOMA amebakiza masaa 24 kuendelea kuwa mchezaji wa mabingwa hao mara tatu mfululizo ligi kuu vodacom
taarifa za kutoka ndani ya uongozi wa YANGA zinasema klabu illitoa muda maalum kwa Ngoma aliyetimukia kwao Zimbambwe bila ruhusa maalum endapo atashindwa kulejea leo jijini Dar es salaam saa sita usikuatasimamishwa.
mbali na kusimamishwa endapo mchezaji huyo atashindwa kuheshimu muda huo kesi yake itapelekwa katika kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, ambapo maamuzi ya kumtimua kabisa yanaweza yakachukuliwa.
Kocha mkuu ya Yanga, George Lwandamila amethibiy\tisha kuwa mshamuliaji wake huyo amepewa muda anatakiwa kuja nchini na kujieleza kuhusu utoro wake huo
''Nimeambiwa na uongozi kuwa NGOMA alitakiwa kuwa nchini novemba 24 sasa kama hatakuja au hata kuja hayo yataamuliwa na uongozi'' alisema Lwandamila.
Comments
Post a Comment