Tamasha la Fiesta Kimeeleweka Hadi Majogoo Wasanii Walioondolewa Warudishwa

Tamasha la Fiesta Kimeeleweka Hadi Majogoo Wasanii Walioondolewa Warudishwa

Ilitangazwa kwamba Tamasha kubwa la FIESTA 2017 Mkoa wa Dar es salaam litafanyika mpaka saa saba usiku ambapo taarifa hizo zikafanya kamati kuwaondoa Wasanii zaidi ya 15 kwenye orodha ya kutumbuiza sababu ya badiliko la muda wa kumaliza sherehe hii kubwa ya Taifa la Bongofleva.

Wasanii wote walioondolewa wamerudishwa kwenye orodha na mipango yao ya kazi itaendelea kama kawa

Tayari kupunguzwa huko kwa muda kulishafanya baadhi ya Wasanii waondolewe kwenye orodha ya Wanaotumbuiza kwenye tamasha hilo akiwemo Lulu Diva.

USISAHAU KUANGALIA VIDEO YA ASLAY ALIVYO BURUNDISHA KWA USTADI WATU WA IRINGA TIGO FIESTA.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya