Malinzi Wenzake Wakwama Mahakamani Kesi Yao Hadi Novemba 30
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Jamal Malinzi (wa pili
kulia) akifuatiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa shirikisho hilo,
Selestine Mwesigwa, wakirudishwa rumande baada kesi yao kutajwa kwenye
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar jana na kuahirishwa mpaka
Novemba 30 mwaka huu
Comments
Post a Comment