Wanawake wengi 'Waliochelewa' Kuolewa Wameamua Kuokoka


Idadi kubwa ya mabinti wa Kikristo ambao wamechelewa kuolewa, wengi wao sasa hivi ni mafull upako kuanzia post zao mitandaoni na hata maongezi yao.

Ukiongea nao na kuomba appointment utasikia, 'siku hiyo tutakuwepo kanisani kwenye maombi'.

Sijui hapo kuna siri gani nyuma ya pazia. Wameokoka kwa kuwa desperate au wameokoka kwa kuvutia wachumba au ni kweli wameamua kuyatoa maisha yao kwa Bwana?

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya