SIMBA NJE FA CUP





Shame!! Aibu!!!Fedheha!!! Haivumiliki!!!Tumewakera fans wetu zaid ya twenty millions... nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba..AIBU YA MWAKA

Hayo ndiyo maneno ambayo manara alijikuta mara baada ya hapo jana kutupwa nje yavmashindano ya FA na kuonekana si kitu si chochote mbele ya timu kutoka daraja la pili
Matokeo yalikuwa ni 1-1,ndani ya dakika 90,,ambapo mikwaju ya penati ndiyo ilitoa uamuzi, na simba akapoteza kwa penati 4-3.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya