YANAYO ENDELEA NDANI YA SIMBA MARA BAADA YA KUTOLEWA FA CUP NA WARRIOUS
Siku moja baada ya Simba kufungwa na Green Warrious kisha kutolewa katika michuano ya FA, bado presha ni kubwa kwa wanamsimbazi baada aya tukio hilo.
Muda mfupi baada ya tukio hilo la kutolewa kwenye mashondano ya FA, ofisa habari wa Simba Haji Manara akatangaza kuwa klabu hiyo imevunja mkataba na aliye kuwa kocha wao JOSEPH OMOG
Maamuzi hayo ambayo yanaonekana ni yenye nia ya kuwapoza mashabiki wa simba bado yamekuwa gumzo mitandaoni na kwenye vijiwe vya soka mitaani.
manara ametumia ukurasa wake wa instagram kufafanua kitu kuhusu upepo wa klabuni hapokwa kuandika ujumbe huu
''baada ya badiliko la jana la kocha, sasa tinakwenda kujenga fighting spirit ya wahezaji wetu,cc tunatimiza wajibu wetu, mashabiki wanaumia na team yao.na wachezajii wajue ukubwa wa Simba Sc.It can be done........''
Comments
Post a Comment