Baada ya Kumtema Ben Pol, Ebitoke Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya
USIKU wa Desemba 15, 2017, katika ukumbi wa MLIMANI CITY, Jijini Dar es Salaam, kumefanyika uzinduzi wa filamu kubwa ya ‘FROM NIGERIA’, Kutoka katika kampuni ya JUMO ENTERTAINMENT, uzinduzi huo umehudhuriwa na wasanii wengi kutoka katika tasnia mbalimbali, wakiwemo wachekeshaji wanaounda kundi la TIMAMU, Ebitoke, Mama Ashura, na Bwana Mjeshi.
Jicho la Globaltv Lilifanikiwa kumnasa mchekeshaji maarufu Ebitoke, akiwa amegandana kama ruba na kijana ambaye anadai ni rafiki yake, lakini katika jicho la kawaida ni kama ndiye mrithi wa X-wake, Benpol.
Tazama video ya TOTO TUNDU Young kuller ft Bright
Tupe maoni yako.
Jicho la Globaltv Lilifanikiwa kumnasa mchekeshaji maarufu Ebitoke, akiwa amegandana kama ruba na kijana ambaye anadai ni rafiki yake, lakini katika jicho la kawaida ni kama ndiye mrithi wa X-wake, Benpol.
VIDEO:
Comments
Post a Comment