OMOG; Simba hii itateseka sana kwa YANGA.
Hii ni baada ya siku chache kutimuliwa ndani ya klabu ya Simba yenye makazi yake mitaa ya msimbazi,kocha OMOG asema simba hii ya sasa itateseka sana mbele ya Yanga, hii inakuja baada ya mwendendo wa timu hiyo kuonekana kuwa si mzuri hasa mara baada ya kutolewa mapema kabisa kwenye michuano ya FA inayoendelea
Ikumbukwe Simba alitolewa kwa mikwaju ya penati na timu ya daraja la pili mara baada ya kutoshana nguvu ndani ya dakika 90 je inaweza kuwa sababu ya Simba kushindwa kuendeklea kufanya vizuri, kwenye mashindano yanayo endelea?
nini maoni yako msomaji wetu.
Comments
Post a Comment