Kimenuka. YANGA WATOA PENDEKEZO AKILIMALI KUFUTIWA UANACHAMA NDANI YA YANGA


KLABU ya Yanga imeonyesha hali ya kuchoshwa na tabia ya Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga Ibrahim Akilimali za kupinga mabadiliko ya klabu hiyo hivyo imewalazimu kutoa mapendekezo ya kumfuta uanachama.

Mwishoni mwa wiki iliyopita Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa alitangaza rasmi nia ya klabu hiyo kuanza mchakato wa kwenda katika mfumo wa hisa jambo ambalo baadae Akilimali alisikika akipinga mfumo huo na kuomba Yanga wamtake radhi.

Akizungumza ndani ya Makao Makuu ya Yanga Makamu Mwenyekiti wa Tawi la Uhuru, Kaisi Edwin alisema, wamekutana wenyeviti wote wa matawi na kukubaliana kuandika barua kwa uongozi huo ili wamfutie uanachama mzee Akilimali

Comments

  1. Kweli Mzee Akilimali anapashwa akuba li mabadiliko yenye tija.Tunajua mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya