Ruby Afunguka Mikakati Yake kwa Mwaka 2018

Ruby Afunguka Mikakati Yake kwa Mwaka 2018


BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, sexy lady kunako Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefunguka kuwa, katika mwaka ujao wa 2018 amejipanga kupambana katika gemu.

Ruby alisema kuwa, alikuwa kimya kwa sababu ya kujipanga na mwakani ndiyo ataanza rasmi mapambano ya kimuziki.

“Sijatoa ngoma kwa muda mrefu, lakini mwakani (2018) mashabiki wangu wategemee mambo mazuri sana, kwani ndiyo rasmi nitajikita kwenye gemu maana nilikuwa ninajipanga,” alisema.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya