Breaking News;Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Kilimba Amepata Ajali na Familia Yake
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.
Comments
Post a Comment