SIMULIZI; NAJUTA KUKUFAHAMU OLIETER.

KARIBU NDUGU MSOMAJI WA SIMULIZI YANGU MPYA KABISA INAYOKWENDA INAYOITWA
NAJUTA KUKUFAHAMU OLIETER

MWANDISHI ;      GODFREY JOHAKIM MPAGIKE                                                           SIMULIZI     ;      NAJUTA KUKUFAHAMU OLIETER                                                       

Hii ni simulizi ambayo itakuwa inakujia kila siku saa moja na nusu jioni ili kukupa wewe ndugu msomaji wa simulizi yetu na GODYNEWSTZ fursa ya kuto kukosa kabisa hata siku moja na kupitwa na simulizi hii yenye kusisi mua na kugusa nyoyo za watu. Nadhani nisiwe msemaji sana nikutakie ufuatiliaji mwema wa simulizi yetu kila sioku hapahapa GODYNEWSTZ kila siku.

Pia kwa siku ya jumapili tutakuwa tunatoa simulizi yenye sehemu mbili kama, ili kutoa burudani iliyokaa kiweekend kweli kweli.Pia usisahau kutakuwa na simulizi kwa njia ya sauti ambayo itakuwa siku ya juma tano na jumamosi jioni saa kumi na mbili kamili kupitia youtube channel yetu ya GODYNEWSTZ TV.
Nikushauri ndugu msomsji usipange kuzikosa simulizi zangu za kila siku ilikupata burudani yenye muunganiko sahihi


by Godfrey Mpagike
@THE BLOGGER..

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya