OBREY CHIRWA sasa ruksa kucheza dhidi ya Azam Fc. Raundi ya 15.


Ni baada ya kumaliza adhabu yake ya mechi tatu kutokana na utovu wa nidhamu aliouonyesha kwenye mechi dhidi ya Prisons.
Mchezaji huyu atakwenda kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting itakayopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa saa 10:00 jioni ilikukamilisha adhabu yake.

Chirwa ataendelea mkufanya mazoezi na wachezaji wenzake ili kunifua kwaajili ya mechi dhidi ya Azam fc utakao kamilisha raundi ya 15,kabla ya ligi kusimama kwa muda kabla ya mzunguko wa pili kuanza tena.

Ikumbukwe Chirwa ameshaikosa michezo miwili tayari, ya Mbao fc na Mwadui fc. Hivyo Chirwa nae huenda akajumuishwa kwenye kikosi kitakacho vaana na Azam fc, mechi ambayo itapigwa katika dimba la azam comlex, Chamazi.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya