Hans azitega Simba na Yanga
KOCHAwa Singida United, HansVan Pluijm kwelini mzoefuwa soka la Afrikana kwa kuthibitisha hilo, amebuni mbinu mpya ya kufanyavizuri katika michuanoya kombela Mapinduzi ambayo wapinzaniwao Simba na Yanga walahawajaitambua.
Kochahuyo alisema kutokananaratiba ngumu ya michuano hiyo inayoendeleavisiwani Zanzibarkwa sasa wachezajiwake wakimaliza mchezonimwendo wa kupumzika nakufanyiwa masaji tu, hakunamazoezi.
“Tunacheza mechikilasiku, hatupumziki, wachezaji wamechokajambo ambalo kamakocha unabidiuwe makini ilimambo yaende vizuri,” alisemaPluijm.
“Ninachokifanya kwa kipindi chotetangu tumefika, hatuna mazoezi magumu ni mapumzikotu. Nimewataka wachezajiwangu wapumzikekwa kulalana kutuliza akili zao pamojana kufanyamasaji kwa wingiili tuweze kucheza mechizetu kwa mafanikio na kutowaumizawachezaji,” alifafanua kocha huyo

Comments
Post a Comment