Kiben Ten Chakomeshwa na Sugar Mummy Wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi Kwenye Gari


Mwanamke mmoja ambaye ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 54 anayejulikana kama Maggie, kampiga mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26 kwa kumdanganya.

Kwa mujibu wa ripoti, Maggie alimpiga mpenzi wake baada ya kumfumania akifanya mapenzi na msichana katika gari lake huko jijini Lusaka, Zambia.
Mwanamke huyo inaonyesha alikasirika na kuamua kuchukua sheria mikononi mwake na kumpiga kijana huyo kama mtoto mdogo, akimhukumu kwa kosa la kuchezea moyo wake.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya