MKUDE ATOA USHAURI WABURE SIMBA


Wakati uongozi wa Simba ukidaiwa kuwa katika harakati za kumtafuta kocha mpya atakayaerithi mikoba ya Mcameroon Joseph Omog kiungo mkabaji Jonas Mkude ameshauri kitu.

Omog alifungashiwa virago vyake hivi karibuni klabun hapo baada ya timu hiyo kutupwa nje ya mashindano ya FA na timu ya daraja la pili iitwayo Green Warrious baada ya kufungwa kwa penati 4-3.
Akizungumza na chanzo kimoja cha ahabari, Mkude alisema uongozi wa simba unapaswa kumwamini kocha wao wa sasa mrundi Djuma Masoud kwa kumpatia muda wa kutosha ili kuona uwezo wake.
''Binasfi mimi ninavyo mwona kocha Masoud tangu alipo jiunga na timu mpaka sasa ni kocha mwenye uwezo mkubwa na mwenye uwezo wa kuliziba pengo la Omog vilivyo.
kama itawezekana uongozi umpatie muda tui wakutosha usiwe na haraka ya kutafuta kocha mwingine kwa sasa naamini anao uwezo wa kutufikisha mbali'' alisema

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya