BAADA YA KIPIGO CHA JANA DHIDI YA URA HAJI MANARA AWAPA UJUMBE HUU MASHABIKI WA SIMBA


January 8 2018 wekundu wa Msimbazi Simba walirejea uwanjani kuwania nafasi yao ya kufuzu kucheza nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup 2018 kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo wao wa mwisho wa Kundi A.

Simba walikuwa wanahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuitoa URA ya Uganda ambao wao walikuwa wanahitaji sare pekee ili wafuzu tofauti na Simba ambao walikuwa ni lazima washinde ili kama watataka kusonga mbele.

Bahati haikuwa ya Simba na dakika ya 48 URA wakapata goli la ushindi kupitia kwa Kalama Debossi na kuufanya mchezo umalizike kwa Simba kupoteza kwa goli 1-0 na kuyaaga mashindano hayo, baada ya game afisa habari wa Simba Haji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuwaandikia wanasimba ujumbe huu.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).