Majonzi.Kingunge Apata Pigo Mkewe Afariki Dunia

Tanzia;Kingunge Apata Pigo Mkewe  Afariki Dunia


Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini kingunge Ngombale,Pelasi amefariki dunia katika hospitali ya taifa Muhimbili mtoto wa kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba wa mama yake.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya