ALICHO KIFANYA JANA NGOMA YANGA.
Akiendelea kuuguza majeraha yake mshambuliaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe Donald Ndombo Ngoma jana aliweza kuwatembelea wachezaji wenzake katika uwanja wa Uhuru jinini Dar es salaam, waliko kuwa wakijifua kwaajili ya muendelezo wa mechi za ligi kuu bara Tanzania
Ikumbuke Ngoma amekuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili sasa, tangu aondoke arudi kwao Kwaajili ya matibabu, na wiki tatu akiwa Dar es salaam tangu arejee kutoka kwao.
Comments
Post a Comment