Huddah Ajuta ‘Natamani Ningekuwa Mweusi na Mwenye Makalio Makubwa
Mfanyabiashara na mwanamitandao Huddah Monroe, ameanza kuitamani ngozi nyeusi katika mwili wake.
Mrembo huyo aliyeamua kujikita katika biashara za urembo wa vipodozi ametoa kauli hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat kwa kuandika “You all know my obsession with dark skin. If I died today and come back. I could come back super super dark skinned, talk and skinny.With a little bit of ass.”
Mrembo huyo ambaye aliwahi kuwa ex wa rapper Prezzo amekuwa akidaiwa kujichubua ngozi yake baada ya kuanza kupata pesa nyingi.
Comments
Post a Comment