Umeipata hii alivyosema diamond kuhusu Wema


Ninapokuwa karibu na @wemasepetu Basi mafanikio yanakuwa mengi.... Hivyo wanaoona Ukaribu huu ni Big Ishu wanafeli na Inakua Sio Poa kabisa. Mimi na Wema ni marafiki Tu na Hakuna Uhusiano wa Kimapenzi. .

@diamondplatnumz Afunguka hayo katika #ThePlaylist Ya Times FM

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya